Tumejitolea kukipatia kitabu chako Mwonekano Mzuri zaidi utakaowavutia wasomaji na wanunuzi wengi zaidi
Tangu Mwaka 2018, Lamax Designs imeendelea Kuaminiwa na Waandishi Wengi wa Vitabu nchini Tanzania 

Baadhi ya waandishi wa vitabu waliofanya kazi nasi 

Shuhuda za baadhi ya wateja 

Baadhi ya kazi tulizofanya

Huduma zilizopo 

ᴘʀᴏ. ʙᴏᴏᴋ ᴄᴏᴠᴇʀ ᴅᴇꜱɪɢɴɪɴɢ | ᴛʏᴘᴇꜱᴇᴛᴛɪɴɢ & ʟᴀʏᴏᴜᴛɪɴɢ | ᴄᴏᴘʏᴡʀɪᴛɪɴɢ | ᴘʀᴏᴏꜰ-ʀᴇᴀᴅɪɴɢ | ᴇᴅɪᴛɪɴɢ | ᴄᴏɴꜱᴜʟᴛᴀᴛɪᴏɴ |

Chagua huduma

1👉Copy Editing 

Kupitia na kurekebisha uandishi wako, alama ulizozitumia, lugha, na kadhalika - ili msomaji wako aisome kazi yako akiwa na Tabasamu usoni 😊, na Furaha moyoni.

2👉Content Editing 

Kupitia na kufanyia marekebisho mawazo yako ya kitabuni, pamoja na mpangilio wake - ili Msomaji wako usichanganyikiwe kwa kukutana na mambo yasiyoendana.

3👉Proofreading 

Kupitia kazi yako kwa hatua ya mwisho kabla ya kuiprint - ili kuhakikisha kama kila kitu kipo mahali pake; pointi zipo vizuri, kurasa zipo vizuri, mtiririko wa Sura za kitabuni upo vizuri, pamoja na mengine mengi.

4👉Book cover/eBook cover design

kupata Sanifu ya Kava la Kitabu chako, lenye ubora unaotakiwa Sokoni; kuanzia kwenye Jina la Kitabu chako mpaka kwenye maelezo ya Kitabu - kwa matumizi ya Softcopy au hardcopy.

5👉Layout Design & Typesetting

Muonekano wa Kitabu chako kwa NDANI uwe vizuri kabisa. Kila kitu kionekane vizuri mahali kinapotakiwa kuwepo na kwa ukubwa unaotakiwa. Yaani, hata msomaji wako akishika kitabu chako, ajue anasoma kitabu cha mtu anayejitambua. Kuanzia kwenye Aina ya mwandiko (font), size ya mwandiko, mpangilio wa sentensi, aya (paragraphs) na Sura (chapters), na kadhalika

6👉Copywriting

Kuandikiwa Makala zitakazokusaidia KUUZA KITABU CHAKO mtandaoni kwa urahisi zaidi.

7 👉Book Title generation

Kusaidiwa kupata Jina la Kitabu chako, litakalowavutia wasomaji na kuinua mauzo ya kitabu chako.

"Kwa pamoja Tunaweza kufanya makubwa."

Wahi sasa huduma yako, uingie sokoni kwa kishindo.

🚸Lengo ni kukusaidia kulifikia soko lako kwa wakati na kwa kazi iliyobora zaidi.

INTERIOR DESIGN 

Leta Kitabu Chako, tukipatie Muonekano Mzuri 


Makala za bure!

💥Bofya Kitufe hiki Chekundu hapa chini ujisomee Makala 500+ Za Jinsi Ya Kuandika Vitabu Bora na Jinsi Ya Kuuza Vitabu Kirahisi👇

Chagua kufanya kazi yako Nasi.

Tumejitolea kukipatia kitabu chako Mwonekano Mzuri zaidi utakaowavutia wasomaji na wanunuzi wengi zaidi

Ahadi yetu!

Kuendelea kukusaidia kila wakati na kwa kila Njia mpaka uyafikie Malengo yako na Kutimiza Ndoto Zako 

Bofya hapa kuwasiliana Nasi WhatsApp👇 


Bonyeza Hapa

Report abuse Learn more