UZA VITABU VYAKO KATIKA MTANDAO WA AMAZON UWAFIKIE WATU WENGI DUNIANI, UPATE WATEJA WENGI NA FAIDA KUBWA...
🍎 Ndugu mwandishi wa vitabu, hivi unajua kwamba, ukiweka kitabu chako katika mtandao wa AMAZON, unaweza kuwafikia watu wengi sana Duniani?
Kama ulikuwa hujui, basi lijue hilo kuanzia sasa.
AMAZON INA MAMILIONI YA WATEJA DUNIANI KOTE; WANAOPENDA KUNUNUA NA KUSOMA VITABU.
Hivyo kitabu chako kinakuwa na uwezekano mkubwa wa kufikiwa na wasomaji wengi.
Na unaweza kuuza kitabu chako katika masoko mbalimbali ya Amazon kama vile Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, India, na mengineyo.
(Unaweza kutafsiri kitabu chako katika lugha mbalimbali ili kuwafikia wasomaji wengi zaidi).
Kizuri ni kwamba....
Ukiwa na account ya kuuzia vitabu AMAZON, unakuwa na UDHIBITI WA KILA KITU...
Unakuwa mmiliki wa account yako kwa 100% - Unaamua bei ya kitabu chako (ukiuze kwa Dollar ngapi za marekani), unaamua muonekano wa kitabu chako, unaamua ukiuze kwa muundo gani - kama ni Kindle eBook, Paperback au Hardcover, n.k.
Unaweza kupakia kitabu chako ndani ya dakika chache tu, kisha ikapitiwa na Amazon ndani ya saa 24-48 na kuruhusiwa kuendelea kuuzika.
UNAPATA FEDHA ZA KIGENI (DOLLAR, EURO, n.k) AMBAZO UKIBADILI KWA FEDHA ZA TANZANIA (shilingi), UNAKUWA NA FAIDA KUBWA SANA.
Na unakuwa na uhuru wa kuchapisha kitabu cha aina yoyote bila kufungwa. Unaweza kuchanganya riwaya, hadithi fupi, mashairi, vitabu vya watoto, vitabu vya elimu, na aina nyinginezo za vitabu.
Sasa, Habari Mbaya ni kwamba...
Huwezi kujiwekea kitabu chochote tu Amazon....
Ni lazima kitabu chako kipangwe kwanza (formatting/typesetting) katika format zinazokubaliwa Amazon kwenye Kindle ebook, paperback na hardcover ili kiweze kusomeka vyema na wateja waliopo duniani kote.
Na pia sanifu la jalada la kitabu chako (cover design) likidhi viwango vya kimataifa.
🍎IKIWA HUNA UJUZI WA KUSANIFU MAJALADA YA VITABU (cover design) NA KUPANGA VITABU KATIKA FORMAT ZA AMAZON....
LAMAX DESIGNS TUNAWEZA KUKUSAIDIA.
Na hutajuta kufanya kazi Yako nasi.
Tumekwisha kuwahudumia wateja 250+ wa ndani na nje ya nchi ya Tanzania na wakafurahia huduma zetu. Hivyo, hupaswi kuwa na shaka kabisa juu ya ubora wa huduma au kiwango cha uaminifu.
HAPA CHINI TUMEKUWEKEA SHUHUDA CHACHE TU ILI UAMINI, ILA SHUHUDA ZIPO ZAIDI YA 150.
PENGINE UNAJIULIZA SASA JUU YA GHARAMA ZA KUPANGIWA KITABU CHAKO CHA KUWEKA AMAZON...
GHARAMA ZAKE HIZI HAPA CHINI...👇

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) chini ya 50, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh.100,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELEWESHWA.
🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 50 hadi 100, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh.150,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELEWESHWA.
🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 100 hadi 150, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh. 200,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 10 TU BILA KUCHELEWESHWA.
🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 150 hadi 200, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh. 250,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 14 TU BILA KUCHELEWESHWA.
🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 200 hadi 300, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh. 300,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 14 TU BILA KUCHELEWESHWA.
KUMBUKA UTAPATA NA BONUS ZIFUATAZO...
- Tutakusaidia kukiweka kitabu chako katika Website ya AMAZON.COM kwa usahihi zaidi ili upate wateja (ikiwa haujawahi kutumia hii Website kuweka vitabu vyako na kuviuza).
- Namna ya kuunganisha account yako na NJIA BORA ZA MALIPO (Payment methods) Zitakazokusaidia kutoa pesa zako nchini kwako bila kwenda nchi jirani.
- Na pia TUNAKUPATIA MAFUNZO YA BURE KABISA YA JINSI YA KUPATA WATEJA WENGI ZAIDI.
BONYEZA HII BUTTON NYEKUNDU HAPA CHINI IKIWA UNAHITAJI HUDUMA HII; kitabu chako kipangwe katika Format za Amazon kwa ajili ya kuuza online kwa wateja waliopo popote pale ulimwenguni. 👇
ANGALIZO; IKIWA KITABU CHAKO KINA MAJEDHARI MENGI NA MICHORO MINGI, GHARAMA ZITAKUWA TOFAUTI kwa sababu ya uzito wa kazi ya upangaji wa aina hiyo ya vitabu. (Wasiliana nasi, tujadiliane vizuri, upewe bei nzuri)
🍎Kumbuka: HII NI FURSA YA WIKI HII TU ♌ USICHELEWE, UKAJA KUKUTA GHARAMA ZIMESHAPANDA MARA DUFU!

BONYEZA HAPA KUJA WHATSAPP KUPATA HUDUMA HARAKA....
...