Huduma ya book cover design 

Je, unahitaji kupata Cover Design Nzuri itakayofanya kitabu chako kiwe na mvuto mkubwa na kuwafanya watu wengi wakinunue kwa kasi?

UPO SEHEMU SAHIHI.

Hizi ni Sample chache tu kati Ya Kazi nyingi tulizofanya.πŸ‘‡

Ziangalie, kisha Ubonyeze kitufe Chekundu kilichopo mwishoni ili uweze Kupata hii huduma ya Book Cover Design.... Uanze kuwa na Vitabu vyenye Mvuto na Vinavyouzika Kirahisi Sokoni...

nawe jipatie hii huduma, uwe na kitabu kizuri kitakachouzika kirahisi,...

________________________

🌢HUDUMA ZIFUATAZO UTAZIPATA BURE (kama Bonus) KABISA UKIAMUA KUFANYA KAZI YAKO NASI SIKU YA LEOπŸ‘‡πŸ»

1. FREE mockup design (yenye thamani Ya Tsh.15,000)

2. FREE PDF ya cover la kitabu chako - utakayotumia kuprint kitabu chako kwa ubora mkubwa (yenye thamani Ya Tsh.17,000)

3. FREE EBOOK ya "Mambo 5 ya kuzingatia kabla haujaanza kuandika vitabu" (yenye thamani Ya Tsh. 7,000)

4. FREE CONSULTATION (yenye thamani Ya Tsh. 57,000) - Kuhakikisha unakuwa na kazi nzuri.


πŸ‘‰YAANI, UNAPATA ZAIDI YA UNACHOTOA.


_________________________

🌢(Tumeshawahudumia Waandishi wa Vitabu zaidi ya 250+, Kwahiyo usiwe na shaka hata kidogo).

Bofya hii button Nyekundu hapa chini, uje WhatsApp utuambie aina Ya Cover design unayohitaji, uwahi kupata kazi yako ndani ya siku 3 tu (bila kucheleweshwa wala kuzungushwa)πŸ‘‡


BONYEZA HAPA























...

Report abuse Learn more