UZA KITABU CHAKO KATIKA MFUMO WA EBOOK UWAFIKIE WATU WENGI, UBAKI NA FAIDA KUBWA...


🍎 Ndugu mwandishi wa vitabu, hivi unajua kwamba, ukiwa na kitabu chako katika mfumo wa E-Book (Electronic Book), unaweza kuwauzia Wateja wako wakiwa popote pale Duniani, ukapata na MAOKOTO mengi (pesa nyingi)?

Kama ulikuwa haulijui, basi lijue hilo kuanzia sasa.


Pengine unajiuliza, E-BOOK ni nini?

Usiwe na shaka, majibu yote unayapata hapa hapa.

E-BOOK ni tafsiri ya neno "electronic book" au "electronic version of a book" kwa lugha ya Kiingereza.

Ni aina ya kitabu ambacho kimehifadhiwa katika muundo wa dijiti au elektroniki badala ya kuwa katika mfumo wa karatasi kama vitabu vya kawaida.

E-Books zinaweza kusomwa kwenye vifaa mbalimbali vya elektroniki kama vile kompyuta, tableti, e-readers (kama vile Kindle), au hata simu za mkononi (SmartPhone).

E-Books zinaweza kuwa katika muundo wa faili kama vile PDF, EPUB, au Kindle, na zinaweza kununuliwa na kupakuliwa kutoka kwenye maduka ya mtandaoni au kutolewa kwa njia zingine za mtandaoni.


Na raha yake ni kwamba, ukiwa na EBOOK;


🍎I. Inakupunguzia Usumbufu.

Kazi yako inabaki kuwaonesha tu Wateja mahali pa kujipakulia kitabu chako, badala ya kuhangaika na kondakta au dereva wa Basi anayekusafirishia Vitabu kwenda kwa Wateja waliopo mbali.



🍎II. Faida zaidi.

Yaani, pesa ambayo ungeitumia kuchapia vitabu ili viwe vya nakala Ngumu (hardcopy), yote inabaki kwako.

Pesa ambayo ungeitumia kusambaza Vitabu vyako kwenda kwenye maduka ya vitabu (BookShops, Bookstores) mbalimbali, yote inabaki kwako.



🍎III. Unawafikia Wateja wengi kwa wakati mmoja na kwa haraka zaidi.

Badala ya mteja wa Kenya kusubiria kwa Siku kadhaa kitabu chako kumfikia kutoka hapo ulipo, kwa eBook anaweza akakipata ndani ya dakika Tatu tu au chini ya hapo.



Kwa namna hiyo, unaweza ukawafikia Wateja wako wote waliopo Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na Ulaya kwa wakati mmoja. Yaani, chap bila 'stress'.



🍎IV. Uhuru zaidi.

Kwa eBook unaweza kufanya Marekebisho kadhaa (editing) fasta na kuki_upload tena Mtandaoni bila kugharamika zaidi (kipesa).

Ila kwa Vitabu vya 'hardcopy' itakubidi uchape tena vitabu vingine (uprint) kwa Gharama nyingine; ambayo ni hatua itakayokupatia HASARA (itakubidi uvitupe vitabu ulivyochapa vikiwa na makosa ya kiuandishi).

JE, umeelewa mpaka hapo?

Na upo tayari kupata MAOKOTO kupitia uuzaji wa vitabu vyako katika mfumo huu wa E-BOOK?


Sasa, Habari Njema ni kwamba...

🍎IKIWA UNAHITAJI KITABU CHAKO KIWE KATIKA MFUMO WA E-BOOK, basi @lamaxdesigns tumejipanga vizuri kuhakikisha kitabu chako kinakuwa EBook; kumwezesha mteja wako kukisoma kwa Uzuri na kwa Urahisi zaidi kupitia Simu yake ya mkononi, laptop, kompyuta, n.k..

Na wala hatuishii hapo...

🍇Tunakuunga pia kwenye system yetu itakayokuwezesha kuuza eBook yako kwa usalama zaidi bila mtu kuweza kukisambaza Bure kwa wenzie Mtandaoni, wala ku_SCREENSHOT, wala kukiprint. (Tunakuunga kwenye system yetu BURE kabisa).

Na pia TUNAKUPATIA MAFUNZO YA BURE KABISA YA JINSI YA KUUZA E-BOOKS ZAKO ONLINE KWA USAHIHI ILI USIPITWE NA MAOKOTO.

 
🍎Kwahiyo, Leta kitabu chako siku hii ya Leo tukiweke katika mfumo mzuri wa maokoto 🙈 (Ebook).

Hautajuta kufanya kazi Yako nasi.

Na Kazi Isipokuridhisha, utarudishiwa Gharama zako zote bila longolongo.

Tumekwisha kuwahudumia wateja 250+ wa ndani na nje ya nchi ya Tanzania na wakafurahia huduma zetu. Hivyo, hupaswi kuwa na shaka kabisa juu ya ubora wa huduma au kiwango cha uaminifuHautajuta kufanya kazi Yako nasi. 

HAPA CHINI TUMEKUWEKEA SHUHUDA CHACHE TU ILI UAMINI, ILA SHUHUDA ZIPO ZAIDI YA 150.




PENGINE UNAJIULIZA SASA JUU YA GHARAMA YA KUWEKA KITABU CHAKO KATIKA MFUMO WA E-BOOK...

Hapa kuna pakeji mbili (2). Chagua inayoendana na malengo yako.

🍎PAKEJI YA KWANZA: 

Ikiwa unataka kitabu chako kipangwe katika mfumo wa EBOOK (PDF) kwa ajili ya kuuza online kwa wateja waliopo Tanzania na Afrika pekee; Kwa kutumia Websites na Aplikesheni zilizopo Afrika (sio nje ya mipaka ya Afrika). 

GHARAMA ZAKE HIZI HAPA CHINI...👇


🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) chini ya 50, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh.50,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELESHWA.

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 50 hadi 100, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh.100,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELESHWA.

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 100 hadi 150, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh.130,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELESHWA.

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 150 hadi 200, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh.170,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELESHWA.

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 200 hadi 300, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh. 250,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELESHWA.

KUMBUKA🍇Tunakuunga pia kwenye system yetu itakayokuwezesha kuuza eBook yako kwa usalama zaidi bila mtu kuweza kukisambaza Bure kwa wenzie Mtandaoni, wala ku_SCREENSHOT, wala kukiprint. (Tunakuunga kwenye system yetu BURE kabisa kama Zawadi ya kufanya kazi nasi siku ya leo).

Na pia TUNAKUPATIA MAFUNZO YA BURE KABISA YA JINSI YA KUUZA E-BOOKS ZAKO ONLINE KWA USAHIHI ILI USIPITWE NA MAOKOTO (bali upate maokoto ya kutosha😝).


BONYEZA HII BUTTON NYEKUNDU HAPA CHINI IKIWA UNAHITAJI HUDUMA YA PAKEJI HII YA KWANZA; kitabu chako kipangwe katika mfumo wa EBOOK (PDF) kwa ajili ya kukiuza online kwa wateja waliopo Tanzania na Afrika pekee; Kwa kutumia Websites na Aplikesheni zilizopo Afrika (sio nje ya mipaka ya Afrika) 👇


          BONYEZA HAPA KUPATA HUDUMA YA PAKEJI YA KWANZA KWA NJIA YA WHATSAPP          

ANGALIZO; IKIWA KITABU CHAKO KINA MAJEDHARI MENGI NA MICHORO MINGI, GHARAMA ZITAKUWA TOFAUTI kwa sababu ya uzito wa kazi ya upangaji wa aina hiyo ya vitabu. (Wasiliana nasi, tujadiliane vizuri, upewe bei nzuri)



🍎PAKEJI YA PILI: 

Ikiwa unataka kitabu chako kipangwe katika mfumo wa EBOOK (EPUB) kwa ajili ya kuuza online kwa wateja waliopo popote pale ulimwenguni kwa kutumia Website kubwa ya AMAZON (KDP).

GHARAMA ZAKE HIZI HAPA...👇


🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) chini ya 50, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh.100,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELESHWA.

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 50 hadi 100, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh.150,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 7 TU BILA KUCHELESHWA.

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 100 hadi 150, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh. 200,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 10 TU BILA KUCHELESHWA.

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 150 hadi 200, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh. 250,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 14 TU BILA KUCHELESHWA.

🍎Ikiwa kitabu chako kina kurasa (page) kati ya 200 hadi 300, Gharama ya kupangiwa eBook ni Tsh. 300,000 tu. NA KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 14 TU BILA KUCHELESHWA.


KUMBUKA🍇Tutakusaidia kukiweka kitabu chako katika Website ya AMAZON.COM kwa usahihi zaidi ili upate wateja (ikiwa haujawahi kutumia hii Website  kuweka vitabu  vyako na kuviuza). 

Na pia TUNAKUPATIA MAFUNZO YA BURE KABISA YA JINSI YA KUUZA E-BOOKS ZAKO ONLINE KWA USAHIHI ILI USIPITWE NA MAOKOTO (bali upate maokoto ya kutosha😝).


BONYEZA HII BUTTON NYEKUNDU HAPA CHINI IKIWA UNAHITAJI HUDUMA YA PAKEJI HII YA PILI; kitabu chako kipangwe katika mfumo wa EBOOK (EPUB) kwa ajili ya kuuza online kwa wateja waliopo popote pale ulimwenguni kwa kutumia Website kubwa ya AMAZON (KDP). 👇


                      BONYEZA HAPA KUPATA HUDUMA YA PAKEJI YA PILI KWA NJIA YA WHATSAPP                      

ANGALIZO; IKIWA KITABU CHAKO KINA MAJEDHARI MENGI NA MICHORO MINGI, GHARAMA ZITAKUWA TOFAUTI kwa sababu ya uzito wa kazi ya upangaji wa aina hiyo ya vitabu. (Wasiliana nasi, tujadiliane vizuri, upewe bei nzuri)


🍎Kumbuka: HII NI FURSA YA WIKI HII TU ♌ USICHELEWE, UKAJA KUKUTA GHARAMA ZIMESHAPANDA MARA DUFU!

Chagua Pakeji yako hapo juu sasa hivi... kisha Bonyeza button nyekundu chini yake kuwahi kupata huduma husika.

Tengeneza zaidi ya Tsh. 570,000 kila mwezi kwa KuUZA KITABU CHAKO KATIKa mfumo wa EBook kuanzia leo...


















...


Report abuse Learn more