TAFUTA COVER DESIGN INAYOENDANA NA HIZI SIFA (2)....
_(1). Wateja unaoenda kuwauzia, au unaotaka waje wanunue kwako.
✍🏽Kwahiyo, usitafute cover design ya Tsh.10,000 wakati unataka kwenda kuwauzia watu wenye kipato cha kati na cha juu.
(Mara nyingi, gharama huenda sambamba na Ubora)
(2). Unavyotaka watu wakuchukulie wewe, pamoja na Kitabu chako.
✍🏽Jinsi 'cover design' ilivyo, ndivyo Kitabu chako kitakavyochukuliwa
Na ndivyo utakavyochukuliwa na wewe (Mwandishi).
✍🏽Haijalishi kwa ndani umeandika mambo mazuri na matamu kiasi gani, bado watu Wataanza kukihukumu kitabu chako kuanzia Nje (kwenye cover design)
✍🏽Cover design ikiwa ya hovyo, hata kazi yako nayo itachukuliwa vivyo hivyo.
✍🏽Cover design ikiwa ya hovyo, hata Nawe (mwandishi) utaonekana ni wa hovyo (hujali unachokifanya)
Je, kwa upande wako; Cover design ya Kitabu chako inaendana na nini❓
‼️Je, unahitaji huduma ya Cover design inayoendana na hayo tuliyoyaongelea hapo juu, pamoja na kupata Ushauri wa BURE katika kila hatua❓
Basi karibu sana @lamaxdesigns (bila kuchelewa).
Tupo WhatsApp kwa nambari 0764 793 105.
💥Wasiliana Nasi sasa hivi .... LEO zipo Bonus kadhaa (za BURE) kwa ajili yako.... hautazipata ukija Kesho.... ni za Leo Tu!
BY @LAMAXDESIGNS*
🚀Share, pia Andika Comment yako hapa chini (shukurani au maswali)