Je unataka kuwa na MAUZO MAKUBWA YA KITABU CHAKO? Anzia hapa...
⭕BORESHA MUONEKANO WA KITABU CHAKO... simple!

Ukweli usioujua ni kwamba...
💰MAUZO ya kitabu (chochote) Yanaanzia Nje ya kitabu.
Na nje ya kitabu kuna...
1️⃣Jina la kitabu (book Title)
2️⃣Jina la Mwandishi + Kuhusu Mwandishi
3️⃣Sanifu ya Jalada (cover design)
4️⃣Maelezo Yahusuyo kitabu (kuhusu kitabu)
Sasa.....
... ingawa Ufafanuzi ni mrefu kwa kila pointi... hapa chini kuna SUMMARY ya kukusaidia sasa hivi 👇🏻
1 ✅Jina la kitabu chako (book title) lina mchango mkubwa sana katika kukifanya kitabu chako kivute umakini wa watu (Attention), wakinunue na kukisoma.
Na ndilo jambo la kwanza (kubwa) Linalowafanya watu wanunue kitabu chako (ukilifanya kwa usahihi).
Yaani, kwa sehemu kubwa (Zaidi ya 90%) watu hushawishiwa na Jina la kitabu (book title) kabla ya vitu vingine. (JINA NDILO LINALOUZA KITABU KWA SEHEMU KUBWA)
2 ✅Sanifu ya Jalada la kitabu chako (book cover design) hutoa tafsiri ya vitu viwili kwa wakati mmoja...
1️⃣Inakutafsiri Wewe, na
2️⃣Inatafsiri Yaliyomo ndani ya kitabu chako.
Ikiwa na maana kwamba,
Ikiwa Sanifu ya jalada la Kitabu chako itakuwa Nzuri, basi Nawe utatafsirika vizuri (wasomaji watakuona unajitambua na unaiamini kazi yako), na kazi yako nayo itatafsiriwa kuwa ni Nzuri.
"Kama jalada tu ndio liko hivi, vipi huko ndani! Si kutakuwa na nondo za kutosha" ndicho atakachokiwaza msomaji (mteja wako).
ILA sanifu ya jalada la Kitabu chako IKIWA MBOVU...
Wewe pamoja na kazi yako mtaonekana ni wa HOVYO. Hata kama yaliyomo kitabuni ni mazuri sana, ila sanifu ya jalada la Kitabu chako ITAKUPONZA (utapoteza wateja wengi).
3 ✅Eneo la kuhusu kitabu ni la muhimu sana baada ya eneo la Jina la Kitabu na Sanifu ya Jalada la Kitabu chako. Na ni Eneo linalokaa nyuma ya kitabu (upande wa nyuma wa jalada la kitabu chako).
Sasa,
HII SIO SEHEMU YA KUANDIKA CHOCHOTE KILE KAMA WENGI WAFANYAVYO.
Ni sehemu nyeti sana unayopaswa kuitumia kumshawishi mtu kununua Kitabu chako. Yaani, NI SEHEMU YA KUTANGAZIA KITABU CHAKO. Sio tu sehemu ya Kuandika "Summary" ya vilivyomo ndani ya kitabu kama wengi wafanyavyo.
4 ✅Jina la Mwandishi lina mchango mkubwa sana katika kuuza kitabu.
Wapo waandishi ambao majina ya vitabu vyao (book titles) hayana USHAWISHI mkubwa, lakini vitabu vyao vinauzika sana sokoni. Kwanini? Kwa sababu ya ukubwa wa majina yao.
5 ✅Ukilizingatia eneo la Kuhusu Mwandishi (wewe mwenyewe) Litakubeba sana. Kwa nini? Kwa sababu kuna baadhi ya watu ambao hutaka kujua habari za Mwandishi wa kitabu kabla ya Kununua kitabu husika (hata kama kina Jina Zuri).
"HUYU NI NANI MPAKA NISOME KITABU CHAKE?" Ndilo Swali linalowasukuma kufanya hivyo.

📕Sasa...
Pengine unawaza ni kwa jinsi gani unaweza ukayafanya YOTE hayo kwa wakati mmoja na kwa ubora😔
Usiwe na shaka.
LEO HII tunayo Ofa maalumu kwa ajili yako...
Ambapo utasaidiwa kufanya hivyo vyote (kwa ushirikiano kati yako na sisi @lamaxdesigns)
...kwa Tsh.30,000 pekee🖐🏻.
Na hiyo 30,000 ni kwa ajili ya COVER DESIGN pekee (sanifu ya Jalada la Kitabu chako) yenye hadhi ya kimataifa (professional).
✏️ILA HUDUMA ZINGINE ZOTE UNASAIDIWA BURE KABISA.
Yaani,
1️⃣Kupata Jina Zuri la kitabu chako (book title) litakalowavutia watu Kununua Kitabu chako kwa Wingi na kukisoma.
2️⃣Kuandika Maelezo Mazuri Yanayokuhusu wewe (mwandishi) na kitabu chako.... (wateja wajiuzie wenyewe kitabu chako kabla ya wewe kusema chochote)
3️⃣Mockup design ya kuuzia kitabu chako mtandaoni
4️⃣Website salama kabisa ya kuuzia Softcopy ya Kitabu chako mtandaoni Bila kuibiwa kazi (Bila mtu kuweza kuishea, kuprint, wala ku-screenshot). Kitabu chako kinakuwa kinauzika hata ukiwa usingizini (Bila uwepo wako wa moja kwa moja).
📕UNAANZAJE KUKOSA HIZO FAIDA ZOTE ZENYE THAMANI ZAIDI YA 300,000 kwa sababu ya Tsh.30,000 pekee ya Cover Design?
Utakuwa haupo serious... utachekwa na watu... na utakuja KUJILAUMU sana; kwa sababu hii Ofa HAITAJIRUDIA tena hivi karibuni.
📕KUHUSU UBORA WA KAZI UTAKAYOFANYIWA USIWE NA SHAKA KABISA. Angalia hizi sample chache hapa chini...👇🏻








Pamoja na nyingine nyingi...
📕ANGALIA NA WALICHOSEMA BAADHI YA WATEJA WALIOTANGULIA KUFANYA MAAMUZI YA KUFANYA KAZI NASI...👇🏻









✏️Usipoteze Muda...
OFA HII INAKARIBIA UKINGONI (kuisha).
✏️BOFYA hii button nyekundu hapa chini na kutuandikia ujumbe wenye neno "COVER 30K" uingie kwenye LIST ya waandishi wachache wanaoenda kulitawala soko la vitabu kwa kazi Nzuri zenye ubora wa kimataifa na Zinazouzika bila Shida 👇🏻
✍Kumbuka: KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 3 TU vigezo vyote vikizingatiwa kwa wakati (Guaranteed)
BONYEZA HAPA
✍hiyo 30,000 ni kwa ajili ya COVER DESIGN pekee (sanifu ya Jalada la Kitabu chako) yenye hadhi ya kimataifa (professional).
✏️ILA HUDUMA ZINGINE ZOTE UNASAIDIWA BURE KABISA.
Yaani,
1️⃣Kupata Jina Zuri la kitabu chako (book title) litakalowavutia watu Kununua Kitabu chako kwa Wingi na kukisoma.
2️⃣Kuandika Maelezo Mazuri Yanayokuhusu wewe (mwandishi) na kitabu chako.... (wateja wajiuzie wenyewe kitabu chako kabla ya wewe kusema chochote)
3️⃣Mockup design ya kuuzia kitabu chako mtandaoni
4️⃣Website salama kabisa ya kuuzia Softcopy ya Kitabu chako mtandaoni Bila kuibiwa kazi (Bila mtu kuweza kuishea, kuprint, wala ku-screenshot). Kitabu chako kinakuwa kinauzika hata ukiwa usingizini (Bila uwepo wako wa moja kwa moja).
✏️BOFYA hii button nyekundu hapa chini na kutuandikia ujumbe wenye neno "COVER 30K" uingie kwenye LIST ya waandishi wachache wanaoenda kulitawala soko la vitabu kwa kazi Nzuri zenye ubora wa kimataifa na Zinazouzika bila Shida 👇🏻
✍KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 3 TU vigezo vyote vikizingatiwa kwa wakati (Guaranteed)
BONYEZA HAPA