MAOKOTO YA KUUZA EBOOKS ONLINE
ANDIKA E-BOOKS, UUZE ONLINE, UWAFIKIE WATU WENGI, UPATE MAOKOTO YA KUTOSHA KILA MWEZI...
๐ Ndugu, hivi unajua kwamba, ukiwa na E-Book (Electronic Book), unaweza kuwauzia Watu wengi sana waliopo popote pale Duniani, ukapata na MAOKOTO mengi (pesa nyingi)?
Kama ulikuwa haujui, basi lijue hilo kuanzia sasa.
PENGINE UNAJIULIZA, E-BOOK NI NINI?
Usiwe na shaka, majibu yote unayapata hapa hapa.
E-BOOK ni tafsiri ya neno "electronic book" au "electronic version of a book" kwa lugha ya Kiingereza.
Ni aina ya kitabu ambacho kimehifadhiwa katika muundo wa dijiti au elektroniki badala ya kuwa katika mfumo wa karatasi kama vitabu vya kawaida.
E-Books zinaweza kusomwa kwenye vifaa mbalimbali vya elektroniki kama vile kompyuta, tableti, e-readers (kama vile Kindle), au hata simu za mkononi (SmartPhone).
E-Books zinaweza kuwa katika muundo wa faili kama vile PDF, EPUB, au Kindle, na zinaweza kununuliwa na kupakuliwa kutoka kwenye maduka ya mtandaoni au kutolewa kwa njia zingine za mtandaoni.
NA RAHA YAKE NI KWAMBA, UKIWA NA EBOOK;
๐I. Inakupunguzia Usumbufu.
Kazi yako inabaki kuwaonesha tu Wateja mahali pa kujipakulia kitabu chako (Ku-Download), badala ya kuhangaika na kondakta au dereva wa Basi anayekusafirishia Vitabu kwenda kwa Wateja waliopo mbali.
๐II. Faida zaidi.
Yaani, pesa ambayo ungeitumia kuPrint vitabu ili viwe vya nakala Ngumu (hardcopy), yote inabaki kwako.
Pesa ambayo ungeitumia kusambaza Vitabu vyako kwenda kwenye maduka ya vitabu (BookShops, Bookstores) mbalimbali, yote inabaki kwako.
๐III. Unawafikia Wateja wengi kwa wakati mmoja na kwa haraka zaidi.
Badala ya mteja wa Kenya kusubiria kwa Siku kadhaa kitabu chako kumfikia kutoka hapo ulipo, kwa eBook anaweza akakipata ndani ya dakika Tatu tu au chini ya hapo.
Kwa namna hiyo, unaweza ukawafikia Wateja wako wote waliopo Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na Ulaya kwa wakati mmoja. Yaani, chap bila 'stress'.
๐IV. Uhuru zaidi.
Kwa eBook unaweza kufanya Marekebisho kadhaa (editing) fasta na kuki_upload tena Mtandaoni bila kugharamika zaidi (kipesa).
Ila kwa Vitabu vya 'hardcopy' itakubidi uchape tena vitabu vingine (uprint) kwa Gharama nyingine; ambayo ni hatua itakayokupatia HASARA (itakubidi uvitupe vitabu ulivyochapa vikiwa na makosa ya kiuandishi).
JE, umeelewa mpaka hapo?
Na upo tayari kupata MAOKOTO kupitia kuandika na kuuza E-BOOKS online?
Sasa, Habari Njema ni kwamba...
๐KUPITIA HILI DARASA LA MWEZI MZIMA, unakwenda kufundishwa mada zifuatazo kwa undani zaidi...
๐ Jinsi ya kupata "Ideas" za kuandikia eBooks (hata kama sasahivi haujui cha kuandika). Na zaidi ya yote, utaoneshwa MAENEO 13 ambayo ukiyaandikia eBook kamwe hutaweza kukosa soko (hautakosa wateja)
๐Uandike nini ndani ya eBook yako
๐Uandike wakati gani na kwa Staili gani itakayomvutia msomaji
๐Jinsi ya kutumia kanuni ya RAMANI kuandika eBook ndani ya muda mfupi zaidi (tofauti na watu wengine)
๐Jinsi ya kupata jina la eBook (Title) itakayowavutia watu kukinunua kwa kasi online
๐Mambo ya kuweka kwenye eBook ili iwe na ladha nzuri kwa wasomaji wako; Wasome bila kuchoka
๐Jinsi ya kupangilia wazo lako na eBook yako kuanzia mwanzo mpaka mwisho - kwa namna itakayowavutia wasomaji
๐Jinsi utakavyoweza kuuza eBooks zako Online tofauti na watu wengine
๐Njia utakazotumia kuuza eBooks zako Online, pamoja na mambo unayopaswa kuyaepuka ili uepukane na Hasara nilizozipata (Lackson Tungaraza) mwanzoni mwa safari yangu ya uandishi na uuzaji wa eBooks online
Na mambo mengine mengi (ya msingi).
YAANI, KUPITIA HILI DARASA UNAPATA "FULL PACKAGE"
Na wala siishii hapo...
๐Nakuunganisha pia kwenye system yetu itakayokuwezesha kuuza eBook yako kwa usalama zaidi bila mtu kuweza kukisambaza Bure kwa wenzie Mtandaoni, wala ku_SCREENSHOT, wala kukiprint. (Tunakuunga kwenye system yetu BURE kabisa).
Na pia NINAKUPATIA MAFUNZO YA BURE KABISA YA JINSI YA KUUZA EBOOKS ZAKO ONLINE KWA USAHIHI ILI USIPITWE NA MAOKOTO.
IKIWA UPO TAYARI KULIPIA HIYO ADA YA MARA MOJA TU (shilingi elfu 20,000 tu) ili uweze kuingia ndani ya hili darasa la kutengeneza zaidi ya shilingi 570k kila mwezi... basi Bonyeza hii button nyekundu hapa chini kuja whatsApp sasahivi...
(ila kama haupo tayari kulipia na bado una wasiwasi, tafadhari usije whatsApp kunisumbua. Hili darasa linahitaji watu walioSIRIASI na maisha, sio wababaishaji).
BONYEZA HAPA KUJA WHATSAPP KULIPIA NA KUUNGWA DARASANI
BONYEZA HAPA KUJA WHATSAPP KULIPIA NA KUUNGWA DARASANI
.....