Namna Unavyoweza Kuuza Kitabu Chako Kirahisi...
Basi hii PDF (YA BURE) imeandaliwa kwa ajili yako.

♦️Ndani yake utakutana na baadhi ya makosa ambayo umekuwa ukiyafanya kwa muda mrefu mpaka yakafanya uanze kukosa wateja wa kazi zako (hata kama ni nzuri kiasi gani).
♦️Na pia utapata majibu ya nini ufanye (hatua gani ufuate) ili uweze kuanza kupata WATEJA WENGI wa kazi zako.
Nakuahidi utapata matokeo makubwa sana endapo utayaweka katika matendo yale yote utakayoyasoma kwenye hii PDF.
Nimekuwepo kwenye tasnia ya uandishi wa vitabu kwa miaka 7+ na nimekwisha kuwasaidia watu 250+ kwenye eneo la uandishi wa vitabu, na wengine wameshinda mpaka tuzo za uandishi Bora nchini Tanzania 🇹🇿

♦️Na sio hivyo tu, mimi binafsi (LACKSON TUNGARAZA) ni Mwandishi wa vitabu zaidi ya 15, ni mwanzilishi na mmiliki wa Lamax Designs - brand inayowasaidia watu kuwa waandishi wazuri wa vitabu, pamoja na kuchapisha vitabu vyao vikiwa katika kiwango cha ubora wa Kimataifa.

Kupitia mafunzo yangu ya miaka 7+ wengi wameweza kupata matumaini mapya kwenye uuzaji wa vitabu.
Mwanzoni walikuwa wanadhani watanzania hawana hela na hawapendi kusoma wala kununua vitabu.
Lakini walikuja kuachana na hizo fikra walipokutana na makala zangu, vitabu pamoja na mafunzo.



Na ndivyo na wewe utakavyokuwa baada ya kusoma hii PDF niliyoamua kukupatia BURE kwa sababu ya kiu kubwa niliyonayo ya kuona kila mwenye ndoto katika tasnia ya uandishi wa vitabu anaifikia kwa wakati sahihi.
♦️Huu ndio wakati wako sahihi wa kuifikia ndoto yako ya kuwa ICON kwenye uandishi wa vitabu, pamoja na kuwa na soko kubwa la kazi zako (uwe na umati mkubwa wa watu walio tayari KUNUNUA VITABU VYAKO kila mara unapovitangaza).
Sasa, fuata hii hatua kupata hii PDF ndani ya dakika 5 tu 👇
👉Nitumie sasahivi meseji isemayo FREE UZA KITABU EBOOK kwenda WhatsApp namba 0764 79 31 05
Nawe utatumiwa PDF yako (eBook) haraka sana.
KUMBUKA: HII NI OFA YA LEO TU. USIDHANI IPO SIKUZOTE. NI LEO TU NDIPO UNAWEZA KUPEWA HII PDF BURE. UKIGHAIRI UKAJA KESHO, BASI ITAKUBIDI ULIPIE TSH.15,000 KABLA YA KUTUMIWA.
Kwahiyo unaweza kuokoa Tsh.15,000 yako kwa kuwasiliana nami sasa hivi.
♦️Nitumie sasahivi meseji isemayo FREE UZA KITABU EBOOK kwenda WhatsApp namba 0764 79 31 05
BY LACKSON TUNGARAZA.
....