Hii Ndio SIRI Niliyotumia Kuuza Vitabu Vingi Ndani Ya Muda Mfupi na Kupata Pesa Nzuri (nawe ukiitumia utauza sana)
December 28, 2022 at 10:59 am
🔥MWANDISHI WA VITABU!
Baada Ya kuandika kitabu chako, hatua inayofuata ni Kukiuza.

Sasa, kuuza kitabu ni Sanaa unayopaswa kujifunza kwa bidii.
Kwa nini?
Kwa sababu kujua kuandika kitabu sio kujua kuuza kitabu.
Kuuza kitabu ni kufanya biashara, na kufanya biashara kunakuhitaji kuzijua SIRI zake ili uweze kufanikiwa.
Watu hawatanunua kitabu chako kwa sababu ulikuwa unakesha kukiandika kwa muda mrefu.
Watu hawatanunua kitabu chako kwa sababu una Sura ya upole.
Watu hawatanunua kitabu chako kwa sababu kimejaa maarifa mazuri.
Ila watanunua kitabu chako kwa sababu ya uwezo wako wa kuwauzia.
Ukijua kuuza, watu watanunua kitabu chako hata kama hakina mambo makubwa sana na ya ajabu ndani yake.
Bahati mbaya ni kwamba, Sanaa ya kuuza vitabu haifundishwi shuleni, chuoni, wala kwenye madarasa mengi ya uandishi wa vitabu yanayotangazwa mtandaoni.
Ila ndani ya hii eBook ya *UZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI nimekuwekea kila kitu unachotakiwa kukijua ili uweze Kuuza Kitabu chako kirahisi zaidi.

Elimu iliyomo ndani yake ni ya vitendo (practical) sio nadharia (theories) za kuGoogle.
Na ni SIRI ambazo nimekuwa nikizitumia kwa zaidi ya Miaka 5 kuuza vitabu vyangu kwa wingi ndani na nje Ya mitandao Ya kijamii.
*Ni siri zilizonisaidia kununua smartphone nzuri ya Samsung, laptop ya kisasa, vifaa vya kurekodia mafundisho yangu, na vitu vingine vingi kupitia pesa za vitabu (vitabu nilivyouza).
HIZO SIRI ZOTE NIMEKUWEKEA NDANI YA HII EBOOK ILI NAWE UWEZE KUFANIKIWA; Uanze kufurahia matunda ya kazi yako (ya kuandika vitabu)
Sasa, kwa kawaida nilipaswa kukuuzia hii eBook kwa zaidi ya Tsh. 25K+ kwa sababu ya thamani Ya madini yaliyomo ndani yake.
Ila kwa sababu ni Msimu wa Sikukuu na zimebaki siku chache mwaka huu kuisha, *ninakupatia kwa ofa Ya Tsh.10,000 tu!* (Unakuwa umeokoa bajeti Yako kubwa)
Bonyeza hii button sasa hivi kupata hii eBook itakayokusaidia kuanza kufurahia kazi yako ya uandishi wa vitabu kwa gharama ndogo sana ya Tsh.10,000 tu
Bonyeza hapa
Mwisho wa hii ofa ni tarehe 31/12/2022 (ndani Ya siku chache zijazo)
Chukua hatua sasahivi kabla haujasahau au haujaitumia hiyo pesa kwa matumizi mengine ambayo hayatakusaidia kutimiza Ndoto Yako Ya kuwa "Best selling author".
Bonyeza hii button sasa hivi kupata hii eBook itakayokusaidia kuanza kufurahia kazi yako ya uandishi wa vitabu kwa gharama ndogo sana ya Tsh.10,000 tu
*By LACKSON TUNGARAZA*
Mwandishi wa vitabu zaidi Ya 15 vilivyowasaidia maelfu ya watu kujitambua na kukua kiuchumi, kiakili na kiroho. Na ndiye muasisi wa @lamaxdesigns inayowainua waandishi wengi kila siku.
#lacksontungaraza
#ofaYaMudaMfupi

