UNAANZA LINI? Kila Siku nakuona unajizungusha Tu!
😳Fikiria kama tangu ulipoanza kutufuatilia kwenye mitandao Ya kijamii ungekuwa umeanza kuliandika wazo lako...
....je, sasa hivi ungekuwa umefikia hatua gani?😒
Si ungekuwa umeshafika hata #Page Ya 10... 15... 30, na kadhalika!
Lakini, cha ajabu ni kwamba, bado upo #Page 0 🥹
...bado haujafanya chochote.

*KILA SIKU UNAJIONA BADO HAUSTAHILI KUANZA, BADO UNAJIPANGA.😎
Hata masomo unayotumiwa hapa hauyafanyii kazi (unayapotezea).
SHAURI YAKO!
Ipo siku itafika utatamani ungezipata tena siku Ulizozipoteza kwa kughairi-ghairi.
Wakati huo hautakuwa na Nguvu ulizokuwa nazo👴🏻.
...hautakuwa na muda uliouchezea.
...hautakuwa na Kiu (shauku) ile Ya mwanzo.
Ndio wakati utakaoelewa ni kwa nini MAJUTO NI MJUKUU😔.
LEO nimekukumbusha mapema, maana nimeona ndiko unakoelekea.
Chukua hatua Ya kubadilika.
ANZA LEO
Anza Kuandika hilo Wazo.
Usiendelee kupoteza muda wako katika kughairi-ghairi (kusubiria-subiria)
*HAKUNA SIKU AMBAYO MAMBO YAKO YOTE YATAKAA SAWA❌.*
By the way, Ikiwa una hamu ya kuanza kuliandika Wazo lako, lakini haujui ufanye nini na nini...
...nakushauri uingie kwenye MasterClass inayoanza tarehe 10 Oktoba, 2022 kwa ada Ya shilingi elfu ishirini (Pesa ndogo sana ukilinganisha na Ndoto unayotaka kuitimiza).
Bahati Mbaya ni kwamba, Zipo nafasi za watu kumi Tu!
Nitumie sasa hivi ujumbe wenye neno MASTERCLASS kwenda WhatsApp namba 0764 79 31 05 uwahi nafasi Yako mapema kati Ya hizo 10 zilizopo.
Hizo nafasi 10 zikiisha na dirisha la usajili linafungwa.

#lacksontungaraza