MAOKOTO YA KUUZA EBOOKS ONLINE
ANDIKA E-BOOKS, UUZE ONLINE, UWAFIKIE WATU WENGI, UPATE MAOKOTO YA KUTOSHA KILA MWEZI...
🍎 Ndugu, hivi unajua kwamba, ukiwa na E-Book (Electronic Book), unaweza kuwauzia Watu wengi sana waliopo popote pale Duniani, ukapata na MAOKOTO mengi (pesa nyingi)?
Kama ulikuwa haujui, basi lijue hilo kuanzia sasa.
PENGINE UNAJIULIZA, E-BOOK NI NINI?
Usiwe na shaka, majibu yote unayapata hapa hapa.
E-BOOK ni tafsiri ya neno "electronic book" au "electronic version of a book" kwa lugha ya Kiingereza.
Ni aina ya kitabu ambacho kimehifadhiwa katika muundo wa dijiti au elektroniki badala ya kuwa katika mfumo wa karatasi kama vitabu vya kawaida.
E-Books zinaweza kusomwa kwenye vifaa mbalimbali vya elektroniki kama vile kompyuta, tableti, e-readers (kama vile Kindle), au hata simu za mkononi (SmartPhone).
E-Books zinaweza kuwa katika muundo wa faili kama vile PDF, EPUB, au Kindle, na zinaweza kununuliwa na kupakuliwa kutoka kwenye maduka ya mtandaoni au kutolewa kwa njia zingine za mtandaoni.
NA RAHA YAKE NI KWAMBA, UKIWA NA EBOOK;
🍎I. Inakupunguzia Usumbufu.
Kazi yako inabaki kuwaonesha tu Wateja mahali pa kujipakulia kitabu chako (Ku-Download), badala ya kuhangaika na kondakta au dereva wa Basi anayekusafirishia Vitabu kwenda kwa Wateja waliopo mbali.
🍎II. Faida zaidi.
Yaani, pesa ambayo ungeitumia kuPrint vitabu ili viwe vya nakala Ngumu (hardcopy), yote inabaki kwako.
Pesa ambayo ungeitumia kusambaza Vitabu vyako kwenda kwenye maduka ya vitabu (BookShops, Bookstores) mbalimbali, yote inabaki kwako.
🍎III. Unawafikia Wateja wengi kwa wakati mmoja na kwa haraka zaidi.
Badala ya mteja wa Kenya kusubiria kwa Siku kadhaa kitabu chako kumfikia kutoka hapo ulipo, kwa eBook anaweza akakipata ndani ya dakika Tatu tu au chini ya hapo.
Kwa namna hiyo, unaweza ukawafikia Wateja wako wote waliopo Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na Ulaya kwa wakati mmoja. Yaani, chap bila 'stress'.
🍎IV. Uhuru zaidi.
Kwa eBook unaweza kufanya Marekebisho kadhaa (editing) fasta na kuki_upload tena Mtandaoni bila kugharamika zaidi (kipesa).
Ila kwa Vitabu vya 'hardcopy' itakubidi uchape tena vitabu vingine (uprint) kwa Gharama nyingine; ambayo ni hatua itakayokupatia HASARA (itakubidi uvitupe vitabu ulivyochapa vikiwa na makosa ya kiuandishi).
JE, umeelewa mpaka hapo?
Na upo tayari kupata MAOKOTO kupitia kuandika na kuuza E-BOOKS online?
Sasa, Habari Njema ni kwamba...
🍎KUPITIA HILI DARASA LA MWEZI MZIMA, unakwenda kufundishwa mada zifuatazo kwa undani zaidi...
🍇 Jinsi ya kupata "Ideas" za kuandikia eBooks (hata kama sasahivi haujui cha kuandika). Na zaidi ya yote, utaoneshwa MAENEO 13 ambayo ukiyaandikia eBook kamwe hutaweza kukosa soko (hautakosa wateja)
🍇Uandike nini ndani ya eBook yako
🍇Uandike wakati gani na kwa Staili gani itakayomvutia msomaji
🍇Jinsi ya kutumia kanuni ya RAMANI kuandika eBook ndani ya muda mfupi zaidi (tofauti na watu wengine)
🍇Jinsi ya kupata jina la eBook (Title) itakayowavutia watu kukinunua kwa kasi online
🍇Mambo ya kuweka kwenye eBook ili iwe na ladha nzuri kwa wasomaji wako; Wasome bila kuchoka
🍇Jinsi ya kupangilia wazo lako na eBook yako kuanzia mwanzo mpaka mwisho - kwa namna itakayowavutia wasomaji
🍇Jinsi utakavyoweza kuuza eBooks zako Online tofauti na watu wengine
🍇Njia utakazotumia kuuza eBooks zako Online, pamoja na mambo unayopaswa kuyaepuka ili uepukane na Hasara nilizozipata (Lackson Tungaraza) mwanzoni mwa safari yangu ya uandishi na uuzaji wa eBooks online
Na mambo mengine mengi (ya msingi).
YAANI, KUPITIA HILI DARASA UNAPATA "FULL PACKAGE"
Na wala siishii hapo...
🍇Nakuunganisha pia kwenye system yetu itakayokuwezesha kuuza eBook yako kwa usalama zaidi bila mtu kuweza kukisambaza Bure kwa wenzie Mtandaoni, wala ku_SCREENSHOT, wala kukiprint. (Tunakuunga kwenye system yetu BURE kabisa).
Na pia NINAKUPATIA MAFUNZO YA BURE KABISA YA JINSI YA KUUZA EBOOKS ZAKO ONLINE KWA USAHIHI ILI USIPITWE NA MAOKOTO.
IKIWA UPO TAYARI KULIPIA HIYO ADA YA MARA MOJA TU (shilingi elfu 20,000 tu) ili uweze kuingia ndani ya hili darasa la kutengeneza zaidi ya shilingi 570k kila mwezi... basi Bonyeza hii button nyekundu hapa chini kuja whatsApp sasahivi...
(ila kama haupo tayari kulipia na bado una wasiwasi, tafadhari usije whatsApp kunisumbua. Hili darasa linahitaji watu walioSIRIASI na maisha, sio wababaishaji).
BONYEZA HAPA KUJA WHATSAPP KULIPIA NA KUUNGWA DARASANI
BONYEZA HAPA KUJA WHATSAPP KULIPIA NA KUUNGWA DARASANI
.....
Namna Unavyoweza Kuuza Kitabu Chako Kirahisi...
Basi hii PDF (YA BURE) imeandaliwa kwa ajili yako.

♦️Ndani yake utakutana na baadhi ya makosa ambayo umekuwa ukiyafanya kwa muda mrefu mpaka yakafanya uanze kukosa wateja wa kazi zako (hata kama ni nzuri kiasi gani).
♦️Na pia utapata majibu ya nini ufanye (hatua gani ufuate) ili uweze kuanza kupata WATEJA WENGI wa kazi zako.
Nakuahidi utapata matokeo makubwa sana endapo utayaweka katika matendo yale yote utakayoyasoma kwenye hii PDF.
Nimekuwepo kwenye tasnia ya uandishi wa vitabu kwa miaka 7+ na nimekwisha kuwasaidia watu 250+ kwenye eneo la uandishi wa vitabu, na wengine wameshinda mpaka tuzo za uandishi Bora nchini Tanzania 🇹🇿

♦️Na sio hivyo tu, mimi binafsi (LACKSON TUNGARAZA) ni Mwandishi wa vitabu zaidi ya 15, ni mwanzilishi na mmiliki wa Lamax Designs - brand inayowasaidia watu kuwa waandishi wazuri wa vitabu, pamoja na kuchapisha vitabu vyao vikiwa katika kiwango cha ubora wa Kimataifa.

Kupitia mafunzo yangu ya miaka 7+ wengi wameweza kupata matumaini mapya kwenye uuzaji wa vitabu.
Mwanzoni walikuwa wanadhani watanzania hawana hela na hawapendi kusoma wala kununua vitabu.
Lakini walikuja kuachana na hizo fikra walipokutana na makala zangu, vitabu pamoja na mafunzo.



Na ndivyo na wewe utakavyokuwa baada ya kusoma hii PDF niliyoamua kukupatia BURE kwa sababu ya kiu kubwa niliyonayo ya kuona kila mwenye ndoto katika tasnia ya uandishi wa vitabu anaifikia kwa wakati sahihi.
♦️Huu ndio wakati wako sahihi wa kuifikia ndoto yako ya kuwa ICON kwenye uandishi wa vitabu, pamoja na kuwa na soko kubwa la kazi zako (uwe na umati mkubwa wa watu walio tayari KUNUNUA VITABU VYAKO kila mara unapovitangaza).
Sasa, fuata hii hatua kupata hii PDF ndani ya dakika 5 tu 👇
👉Nitumie sasahivi meseji isemayo FREE UZA KITABU EBOOK kwenda WhatsApp namba 0764 79 31 05
Nawe utatumiwa PDF yako (eBook) haraka sana.
KUMBUKA: HII NI OFA YA LEO TU. USIDHANI IPO SIKUZOTE. NI LEO TU NDIPO UNAWEZA KUPEWA HII PDF BURE. UKIGHAIRI UKAJA KESHO, BASI ITAKUBIDI ULIPIE TSH.15,000 KABLA YA KUTUMIWA.
Kwahiyo unaweza kuokoa Tsh.15,000 yako kwa kuwasiliana nami sasa hivi.
♦️Nitumie sasahivi meseji isemayo FREE UZA KITABU EBOOK kwenda WhatsApp namba 0764 79 31 05
BY LACKSON TUNGARAZA.
....
FREE EBOOK DOWNLOAD: Write Profitable eBooks Fast...

🎯Are you ready to dive into the world of eBook publishing and start earning income from your writing?
Whether you're a seasoned writer looking to maximize your productivity or a beginner eager to enter the world of eBook publishing, this guide is your roadmap to success.
With actionable steps, practical advice, and insider tips, you'll gain the confidence and skills necessary to make your mark in the digital publishing landscape.
Grab your Free copy now and start writing your way to profits!

♦️Click the Red button below to come to my WhatsApp to receive your Free eBook Within seconds...
REMEMBER, THIS EBOOK IS ONLY FREE FOR TODAY because it's my Birthday 🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 🎊 🎂
But once the day ends, you'll have to pay $19 to get it.
So, this is your only chance to make your dream come true 👍
I believe you are our next published author ❤
Ready? Click this button Now 👇
Click Here
I’m Lackson Tungaraza,
A published author with more than 15 books, and the Founder of Lamax Designs (Writers’ and Authors’ brand).

Over 7 years, I’ve helped more than 150 Africans to write and publish their books.
Some of them have won awards in various competitions.
♦️This time I wanna help you too if you are willing to be helped by me 😊
Click the Red button above to receive your Free eBook.
The eBook has 41+ pages.
P.S: I'm connecting you to my personal WhatsApp number because I want to help you closer and on time, compared to email 📧) 101 connection is the key 🔑.
....
YOUR BOOK COVER DESIGN SHOULD MEET THESE 4 CRITERIA FOR A BETTER CONVERSION RATE...

🔥YOUR BOOK COVER DESIGN SHOULD MEET THESE 4 CRITERIA FOR A BETTER CONVERSION RATE:
So, If you wanna have that kind of book cover design that will fit within the 4 Criteria...
UKITAKA KUWA MWANDISHI MZURI, FANYA YAFUATAYO...👇
(Kupata Mentorship ya uandishi Bora wa vitabu, Wasiliana nami WhatsApp kwa 0764 79 31 05)
Payment Confirmation 👍
You've remained with one step only to the end...
Send us a Screenshot of your payment message to our WhatsApp via this button 👇
Click Here
Hii Ndio SIRI Niliyotumia Kuuza Vitabu Vingi Ndani Ya Muda Mfupi na Kupata Pesa Nzuri (nawe ukiitumia utauza sana)


Bonyeza hapa


SIO LAZIMA uandike Kitabu kikubwa sana!

SIRI: Jinsi Hofu ilivyoninyima Kuuza vitabu vingi...

TAHADHARI KWENYE BOOK TITLE Ikiwa unataka Kuuza Vitabu vingi...
UNAANZA LINI? Kila Siku nakuona unajizungusha Tu!
😳Fikiria kama tangu ulipoanza kutufuatilia kwenye mitandao Ya kijamii ungekuwa umeanza kuliandika wazo lako...
....je, sasa hivi ungekuwa umefikia hatua gani?😒
Si ungekuwa umeshafika hata #Page Ya 10... 15... 30, na kadhalika!
Lakini, cha ajabu ni kwamba, bado upo #Page 0 🥹
...bado haujafanya chochote.

*KILA SIKU UNAJIONA BADO HAUSTAHILI KUANZA, BADO UNAJIPANGA.😎
Hata masomo unayotumiwa hapa hauyafanyii kazi (unayapotezea).
SHAURI YAKO!
Ipo siku itafika utatamani ungezipata tena siku Ulizozipoteza kwa kughairi-ghairi.
Wakati huo hautakuwa na Nguvu ulizokuwa nazo👴🏻.
...hautakuwa na muda uliouchezea.
...hautakuwa na Kiu (shauku) ile Ya mwanzo.
Ndio wakati utakaoelewa ni kwa nini MAJUTO NI MJUKUU😔.
LEO nimekukumbusha mapema, maana nimeona ndiko unakoelekea.
Chukua hatua Ya kubadilika.
ANZA LEO
Anza Kuandika hilo Wazo.
Usiendelee kupoteza muda wako katika kughairi-ghairi (kusubiria-subiria)
*HAKUNA SIKU AMBAYO MAMBO YAKO YOTE YATAKAA SAWA❌.*
By the way, Ikiwa una hamu ya kuanza kuliandika Wazo lako, lakini haujui ufanye nini na nini...
...nakushauri uingie kwenye MasterClass inayoanza tarehe 10 Oktoba, 2022 kwa ada Ya shilingi elfu ishirini (Pesa ndogo sana ukilinganisha na Ndoto unayotaka kuitimiza).
Bahati Mbaya ni kwamba, Zipo nafasi za watu kumi Tu!
Nitumie sasa hivi ujumbe wenye neno MASTERCLASS kwenda WhatsApp namba 0764 79 31 05 uwahi nafasi Yako mapema kati Ya hizo 10 zilizopo.
Hizo nafasi 10 zikiisha na dirisha la usajili linafungwa.

#lacksontungaraza
Special Package: Angalia hizi SHUHUDA kutoka Kwa Waandishi Wa Vitabu...









🛑NAWE WAHI HII BAHATI YA KUFANYA YAKO NA @LAMAXDESIGNS katika Ubora wa Kimataifa....
JINSI UNAVYOWEZA KUUZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI KUANZIA SASA HIVI...

Hata unapojaribu kupunguza bei, hakuna badiliko lolote (chanya) unalolipata – Watu wanaendelea kutokununua vitabu vyako licha ya kwamba, vina maarifa mazuri sana ndani yake?
Hiki kitabu (eBook) ni kwa ajili yako.

Ndani ya hiki kitabu kuna mbinu na njia zitakazokusaidia kuuza vitabu vyako kirahisi Zaidi, ndani na nje ya mtandao wa intaneti, tofauti na waandishi wengine.
💥Ni Mbinu makini sana ambazo nimekuwa nikizitumia kwa zaidi ya Miaka 4 kuuza vitabu vyangu vya hardcopy na Softcopy. Kwa hiyo, ni Mbinu Zilizohakikishwa (Zinafanya kazi).
Mfano mdogo ni huu hapa chini...👇

👆🏻Hii ni List ndogo tu ya wateja wanaoendelea Kununua vitabu vyangu online.
👇
✅Je, Nimewezaje kuuza haraka hivyo? Majibu yote nimeyaweka kwenye ndani ya Kitabu.
Na
✅Je, ninatumia njia gani Kuviuza? Majibu yapo kwenye Kitabu.
🔥 MWANDISHI_WA_VITABU, unadhani UKIUZA VITABU VYAKO (Softcopy) KWA BEI NAFUU sana kama vile shilingi 1000, 2000 au 5000 ndipo watu wengi WATAVINUNUA..!!
✏️Usijidanganye.
Utapunguza mpaka mwisho, lakini watu hawatavinunua.
✏️Bei nafuu haijawahi kuwa kigezo kikubwa cha kuwafanya watu wanunue vitabu.
Binafsi (Lackson Tungaraza) huwa ninauza Softcopy za shilingi elfu 20, 30... na bado watu wanavinunua sana.
Wakati huohuo Kuna watu wanauza vya shilingi elfu 5 na havinunuliki.
✏️Kwa hiyo, achana kabisa na hizo stori za kwamba, "Watanzania wengi hawasomi vitabu" au "Watanzania HAWANUNUI Softcopy za Bei kubwa"
....huo ni uongo (nisikilize mimi ninayekuambia ukweli).
Sasa,
Pengine unawaza sasa ni Mbinu gani na Njia gani ninazotumia kuuza vitabu hata kwa Bei kubwa ambazo watu wengine wanaogopa kuuzia vitabu vyao...
....nimekuwekea hizo SIRI zote ndani ya hiyo eBook yangu ya "UZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI"
✏️Yaani, ukisoma hicho Kitabu halafu ukashindwa kuuza vitabu vyako NIITE MBWA au kanishitaki kituo cha polisi (chochote) kilichopo karibu yako.
Njoo inbox (WhatsApp) sahivi nikupatie hiyo eBook uanze kupata RAHA ya uandishi wa vitabu (ambayo ni kuona Pesa zikiingia kwenye account Yako kupitia vitabu ulivyohangaika usiku na mchana kuviandika).
Na kwa kuwa u Mwandishi mwenzangu, nakupatia hiyo eBook Leo kwa Ofa ya shilingi elfu 25,000 tu za Kitanzania.
Lipia sasa hivi kwenye Mpesa namba 0764793105 (Jina: Lackson Tungaraza)
Kisha nitumie screenshot ya Malipo yako WhatsApp kwa namba hiyohiyo - eBook yako utaipata ndani ya dakika 2 tu!
Uwamuzi ni wako
Kuchukua hatua.
✅100% money back guarantee kisipokusaidia kama nilivyokuahidi.
Lipia sasa hivi hiyo elfu 25,000 Ya eBook kwenye Mpesa namba 0764793105 (Jina: Lackson Tungaraza)
Kisha nitumie screenshot ya Malipo yako WhatsApp kwa namba hiyohiyo - eBook yako utaipata ndani ya dakika 2 tu!
✏️Good Results Guaranteed!
💥HUNA HAJA YA KUENDELEA KUTESEKA KUUZA VITABU VYAKO KATIKA KARNE HII. Jipatie hiki Kitabu cha "UZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI" kwa Ofa ya Tsh.25,000 Tu badala ya Tsh.50,000 (Punguzo la 50% SIKU YA LEO)
HAUTAJUTIA KUKISOMA. KIMEBEBA ELIMU YA VITENDO (practical knowledge)
______________________________
01: Jinsi Unavyoweza Kuuza Vitabu vyako KIRAHISI
02: Njia Za Kuuzia Vitabu Vyako

🥊KISIPOKUSAIDIA KUUZA NAKALA NYINGI ZA VITABU VYAKO baada ya kukitendea kazi kama ilivyoelekezwa kitabuni.... Njoo uombe kurejeshewa Malipo Yako. Utarejeshewa Yote (100% money back guarantee).
🥊BOFYA hii button Nyekundu hapa chini Kuja WhatsApp na kutuandikia meseji yenye neno "UZAKITABU" ujipatie hiki Kitabu cha "UZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI" kwa Ofa ya Tsh.25,000 Tu badala ya Tsh.50,000 (Punguzo la 50% SIKU YA LEO)👇
BOFYA HAPA💥Ofa hii ikipita utakuja kukipata kwa shilingi 50,000 Bila punguzo.
KUMBUKA: KISIPOKUSAIDIA KUUZA NAKALA NYINGI ZA VITABU VYAKO baada ya kukitendea kazi kama ilivyoelekezwa kitabuni.... Njoo uombe kurejeshewa Malipo Yako. Utarejeshewa Yote (100% money back guarantee).
🥊BOFYA hii button Nyekundu hapa chini Kuja WhatsApp na kutuandikia meseji yenye neno "UZAKITABU" ujipatie hiki Kitabu cha "UZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI" kwa Ofa ya Tsh.25,000 Tu badala ya Tsh.50,000 (Punguzo la 50% SIKU YA LEO)👇
BOFYA HAPA🛑Kitabu hiki kimebeba Kozi Nzima Ya Uandishi wa Vitabu...


✅Uandike nini ndani ya Kitabu chako
✅Uandike wakati gani na kwa Staili gani
✅Jinsi ya kupata mawazo (bora) endelevu ya Kuandika kwenye Kitabu chako ili usiishie kutoa Kitabu kimoja (pekee), bali uendelee kutoa vitabu vingine vingi.
✅Jinsi ya kupangilia Wazo lako na Kitabu chako kuanzia mwanzo mpaka mwisho kwa Namna itakayomvutia msomaji wako.
✅Njia utakazotumia kuuzia Kitabu chako, pamoja na mambo unayopaswa kuyaepuka ili uepukane na hasara nilizozipata (Lackson Tungaraza) mwanzoni mwa safari yangu ya uandishi wa vitabu.






1. FREE Mentorship yenye thamani Ya zaidi 100K mpaka unamaliza kuandika kitabu chako
2. FREE eBook Yenye thamani Ya 20K+ kiitwacho "Jifunze Usomaji wa Vitabu kwa Njia Rahisi" (jinsi uwezavyo kugundua SIRI zilizomo vitabuni na kuweza kufanikiwa kimaisha)
TAYARI WENZAKO WAMESHAANZA KULIPIA... NA KITABU WAMESHATUMIWA... Wameanza kutimiza Ndoto Zao!






👇👇
BONYEZA HAPA KUPAKUA SOFTCOPY

👇 Jipatie eBook Yako (SOFTCOPY) SASA HIVI BILA KUCHELEWA... (ndani Ya sekunde 2 tu utakuwa umeshatumiwa kitabu chako kwenye simu Yako baada Ya kujaza taarifa zako kwa usahihi)👇
BONYEZA HAPA KUPAKUA SOFTCOPY
YALIYOANDIKWA NDANI YA KITABU NI MCHAKATO MZIMA AMBAO NIMEKUWA NIKIUTUMIA kwa zaidi ya Miaka 6 KUANDIKA VITABU ZAIDI YA 15 na Kuviuza kwa wateja wa ndani na Nje ya nchi ya Tanzania. (Sio elimu ya kuCopy na kupesti kutoka Google/YouTube)
💥P.S: Kitabu hiki Kitakusaidia pia kubadilisha unachokijua/unachokifanya kuwa kitabu (chambo cha kupatia wateja wapya, connection, kuongeza kipato, kukuza Brand, n.k)

💓Ikiwa unapenda kupata HARDCOPY YA KITABU, utachangia Tsh.50,000 tu! Na utapata BONUS ZIFUATAZO (BURE)👇
1. FREE Mentorship yenye thamani Ya zaidi 100K mpaka unamaliza kuandika kitabu chako
2. FREE delivery - haulipii gharama za ziada kusafirishiwa kitabu (hata kama upo mkoani)
3. FREE eBook Yenye thamani Ya 20K+ kiitwacho "Jifunze Usomaji wa Vitabu kwa Njia Rahisi" (jinsi uwezavyo kugundua SIRI zilizomo vitabuni na kuweza kufanikiwa kimaisha)
👉🏻Gharama Ya kitabu (hardcopy) ni Tsh.50,000 tu! (Gharama ndogo sana ukilinganisha na Thamani na Bonus unazopata)
❇️ZIMEBAKI COPY 5 TU ZA HARDCOPY.
Wahi Copy Yako sasa hivi kwa kutuma neno KITABUKOZI kwenda WhatsApp namba 0764 79 31 05




🥰Bonyeza hii button NYEKUNDU hapa chini kuja WhatsApp kuwahi Copy Yako Ya kitabu kati Ya 5 zilizobaki👇 (kitabu kina page 220)
BONYEZA HAPA KUJA WHATSAPP
Je unataka kuwa na MAUZO MAKUBWA YA KITABU CHAKO? Anzia hapa...
⭕BORESHA MUONEKANO WA KITABU CHAKO... simple!

Ukweli usioujua ni kwamba...
💰MAUZO ya kitabu (chochote) Yanaanzia Nje ya kitabu.
Na nje ya kitabu kuna...
1️⃣Jina la kitabu (book Title)
2️⃣Jina la Mwandishi + Kuhusu Mwandishi
3️⃣Sanifu ya Jalada (cover design)
4️⃣Maelezo Yahusuyo kitabu (kuhusu kitabu)
Sasa.....
... ingawa Ufafanuzi ni mrefu kwa kila pointi... hapa chini kuna SUMMARY ya kukusaidia sasa hivi 👇🏻
1 ✅Jina la kitabu chako (book title) lina mchango mkubwa sana katika kukifanya kitabu chako kivute umakini wa watu (Attention), wakinunue na kukisoma.
Na ndilo jambo la kwanza (kubwa) Linalowafanya watu wanunue kitabu chako (ukilifanya kwa usahihi).
Yaani, kwa sehemu kubwa (Zaidi ya 90%) watu hushawishiwa na Jina la kitabu (book title) kabla ya vitu vingine. (JINA NDILO LINALOUZA KITABU KWA SEHEMU KUBWA)
2 ✅Sanifu ya Jalada la kitabu chako (book cover design) hutoa tafsiri ya vitu viwili kwa wakati mmoja...
1️⃣Inakutafsiri Wewe, na
2️⃣Inatafsiri Yaliyomo ndani ya kitabu chako.
Ikiwa na maana kwamba,
Ikiwa Sanifu ya jalada la Kitabu chako itakuwa Nzuri, basi Nawe utatafsirika vizuri (wasomaji watakuona unajitambua na unaiamini kazi yako), na kazi yako nayo itatafsiriwa kuwa ni Nzuri.
"Kama jalada tu ndio liko hivi, vipi huko ndani! Si kutakuwa na nondo za kutosha" ndicho atakachokiwaza msomaji (mteja wako).
ILA sanifu ya jalada la Kitabu chako IKIWA MBOVU...
Wewe pamoja na kazi yako mtaonekana ni wa HOVYO. Hata kama yaliyomo kitabuni ni mazuri sana, ila sanifu ya jalada la Kitabu chako ITAKUPONZA (utapoteza wateja wengi).
3 ✅Eneo la kuhusu kitabu ni la muhimu sana baada ya eneo la Jina la Kitabu na Sanifu ya Jalada la Kitabu chako. Na ni Eneo linalokaa nyuma ya kitabu (upande wa nyuma wa jalada la kitabu chako).
Sasa,
HII SIO SEHEMU YA KUANDIKA CHOCHOTE KILE KAMA WENGI WAFANYAVYO.
Ni sehemu nyeti sana unayopaswa kuitumia kumshawishi mtu kununua Kitabu chako. Yaani, NI SEHEMU YA KUTANGAZIA KITABU CHAKO. Sio tu sehemu ya Kuandika "Summary" ya vilivyomo ndani ya kitabu kama wengi wafanyavyo.
4 ✅Jina la Mwandishi lina mchango mkubwa sana katika kuuza kitabu.
Wapo waandishi ambao majina ya vitabu vyao (book titles) hayana USHAWISHI mkubwa, lakini vitabu vyao vinauzika sana sokoni. Kwanini? Kwa sababu ya ukubwa wa majina yao.
5 ✅Ukilizingatia eneo la Kuhusu Mwandishi (wewe mwenyewe) Litakubeba sana. Kwa nini? Kwa sababu kuna baadhi ya watu ambao hutaka kujua habari za Mwandishi wa kitabu kabla ya Kununua kitabu husika (hata kama kina Jina Zuri).
"HUYU NI NANI MPAKA NISOME KITABU CHAKE?" Ndilo Swali linalowasukuma kufanya hivyo.

📕Sasa...
Pengine unawaza ni kwa jinsi gani unaweza ukayafanya YOTE hayo kwa wakati mmoja na kwa ubora😔
Usiwe na shaka.
LEO HII tunayo Ofa maalumu kwa ajili yako...
Ambapo utasaidiwa kufanya hivyo vyote (kwa ushirikiano kati yako na sisi @lamaxdesigns)
...kwa Tsh.30,000 pekee🖐🏻.
Na hiyo 30,000 ni kwa ajili ya COVER DESIGN pekee (sanifu ya Jalada la Kitabu chako) yenye hadhi ya kimataifa (professional).
✏️ILA HUDUMA ZINGINE ZOTE UNASAIDIWA BURE KABISA.
Yaani,
1️⃣Kupata Jina Zuri la kitabu chako (book title) litakalowavutia watu Kununua Kitabu chako kwa Wingi na kukisoma.
2️⃣Kuandika Maelezo Mazuri Yanayokuhusu wewe (mwandishi) na kitabu chako.... (wateja wajiuzie wenyewe kitabu chako kabla ya wewe kusema chochote)
3️⃣Mockup design ya kuuzia kitabu chako mtandaoni
4️⃣Website salama kabisa ya kuuzia Softcopy ya Kitabu chako mtandaoni Bila kuibiwa kazi (Bila mtu kuweza kuishea, kuprint, wala ku-screenshot). Kitabu chako kinakuwa kinauzika hata ukiwa usingizini (Bila uwepo wako wa moja kwa moja).
📕UNAANZAJE KUKOSA HIZO FAIDA ZOTE ZENYE THAMANI ZAIDI YA 300,000 kwa sababu ya Tsh.30,000 pekee ya Cover Design?
Utakuwa haupo serious... utachekwa na watu... na utakuja KUJILAUMU sana; kwa sababu hii Ofa HAITAJIRUDIA tena hivi karibuni.
📕KUHUSU UBORA WA KAZI UTAKAYOFANYIWA USIWE NA SHAKA KABISA. Angalia hizi sample chache hapa chini...👇🏻








Pamoja na nyingine nyingi...
📕ANGALIA NA WALICHOSEMA BAADHI YA WATEJA WALIOTANGULIA KUFANYA MAAMUZI YA KUFANYA KAZI NASI...👇🏻









✏️Usipoteze Muda...
OFA HII INAKARIBIA UKINGONI (kuisha).
✏️BOFYA hii button nyekundu hapa chini na kutuandikia ujumbe wenye neno "COVER 30K" uingie kwenye LIST ya waandishi wachache wanaoenda kulitawala soko la vitabu kwa kazi Nzuri zenye ubora wa kimataifa na Zinazouzika bila Shida 👇🏻
✍Kumbuka: KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 3 TU vigezo vyote vikizingatiwa kwa wakati (Guaranteed)
BONYEZA HAPA
✍hiyo 30,000 ni kwa ajili ya COVER DESIGN pekee (sanifu ya Jalada la Kitabu chako) yenye hadhi ya kimataifa (professional).
✏️ILA HUDUMA ZINGINE ZOTE UNASAIDIWA BURE KABISA.
Yaani,
1️⃣Kupata Jina Zuri la kitabu chako (book title) litakalowavutia watu Kununua Kitabu chako kwa Wingi na kukisoma.
2️⃣Kuandika Maelezo Mazuri Yanayokuhusu wewe (mwandishi) na kitabu chako.... (wateja wajiuzie wenyewe kitabu chako kabla ya wewe kusema chochote)
3️⃣Mockup design ya kuuzia kitabu chako mtandaoni
4️⃣Website salama kabisa ya kuuzia Softcopy ya Kitabu chako mtandaoni Bila kuibiwa kazi (Bila mtu kuweza kuishea, kuprint, wala ku-screenshot). Kitabu chako kinakuwa kinauzika hata ukiwa usingizini (Bila uwepo wako wa moja kwa moja).
✏️BOFYA hii button nyekundu hapa chini na kutuandikia ujumbe wenye neno "COVER 30K" uingie kwenye LIST ya waandishi wachache wanaoenda kulitawala soko la vitabu kwa kazi Nzuri zenye ubora wa kimataifa na Zinazouzika bila Shida 👇🏻
✍KAZI YAKO UNAIPATA NDANI YA SIKU 3 TU vigezo vyote vikizingatiwa kwa wakati (Guaranteed)
BONYEZA HAPA
Pata FREE book Cover design wiki hii... (soma hapa)

❤MWANDISHI WA VITABU, usipitwe na Ofa hii ya wiki hii....👇
KIGEZO NI KIMOJA TU!
......Panga Kitabu chako (typesetting) Nasi @lamaxdesigns ndani ya Juma hili upate OFA YA KUTENGENEZEWA SANIFU YA JALADA LA KITABU CHAKO BURE (Free book cover design yenye thamani ya Tsh.50,000) UOKOE BAJETI YAKO.
Sanifu Ya Jalada la Kitabu chako (book cover design) inakutafsiri wewe (Mwandishi) na Yaliyomo ndani ya kitabu chako (content)Ikiwa book cover design itakuwa Nzuri, basi Nawe utatafsirika vizuri (wasomaji watakuona unajitambua na unaiamini kazi yako), na Kazi yako nayo itatafsiriwa kuwa ni Nzuri. "Kama Jalada tu ndio liko hivi, vipi huko ndani! Si kutakuwa na nondo za kutosha" ndicho atakachokiwaza msomaji (mteja wako)
✍Ukitaka watu warudi Kununua vitabu vyako vingine, huna budi Kuwafurahisha katika Kitabu chako cha awali.
Na njia mojawapo ni Kuwafurahisha kupitia mpangilio wa maudhui yako; Msomaji avutiwe na jinsi ulivyopangilia sura za kwenye kitabu chako, sentensi, aya, nukuu, michoro, aina ya mwandiko, ukubwa wa maandishi, muundo wa kitabu, na kadhalika.
✍KITABU CHAKO KISIMFANYE MTU AJUTIE PESA YAKE aliyotumia kununua kitabu chako, bali afurahie kwa kuona amepata zaidi ya mararajio yake. Yaani, thamani iwe kubwa zaidi ya Bei.
Sasa, nini cha kufanya?
🛑WAHI OFA HII SASA HIVI kwa kuwasiliana Nasi WhatsApp kupitia nambari 0764 79 31 05.
💥Kazi Yako Unaipata ndani ya muda mfupi sana ikiwa na ubora mkubwa tofauti na wengine wote wanaokucheleweshea kazi zako na baadaye kuzileta zikiwa chini ya kiwango.
💥KIGEZO NI KIMOJA TU!
......Panga Kitabu chako (typesetting) Nasi @lamaxdesigns sasa hivi.
🌹WAHI OFA HII SASA HIVI kabla haijaisha kwa kuwasiliana Nasi WhatsApp kupitia nambari 0764 79 31 05 UOKOE BAJETI YAKO ULIYOKUWA UNATAKA KUTUMIA KWENYE BOOK COVER DESIGN.
Ukipitwa.... utajilaumu sana.... kwa sababu hii Ofa HAITAJIRUDIA tena hivi karibuni.
ANGALIA KILICHOSEMWA NA BAADHI YA WATEJA WALIOPITA...✍


BONYEZA hiki kitufe Chekundu hapa chini KUJA WHATSAPP MOJA KWA MOJA sasa hivi na kutuandikia neno "FREE COVER" ili kuwahi OFA HII....👇👇
BONYEZA HAPA
Kozi Bora Ya Uandishi wa Vitabu nchini Tanzania...

🥊SOMA MAELEZO YOTE MPAKA MWISHO 👇
IKIWA UNA HAMU YA KUANDIKA NA KUTOA KITABU CHAKO kabla mwaka huu haujaisha, nawe uanze kuitwa Mwandishi wa Vitabu - Jina lako Likue (branding), uongeze wateja, uingize kipato, uache alama (Legacy) na kupata Fursa mbalimbali....
.....PAMOJA NA KUJUA JINSI YA KUUZA VITABU VYAKO KIRAHISI ZAIDI TOFAUTI NA WAANDISHI WENGINE WANAOTESEKA KUUZA KAZI ZAO...
......basi JISAJILI Leo ndani ya hii KOZI YA UANDISHI WA VITABU KWA NJIA RAHISI inayoanza Muda sio mrefu kupitia WhatsApp group.
NAFASI NYINGI ZIMESHACHUKULIWA.... ZIMEBAKI NAFASI 8 TU ZA UPENDELEO unazopaswa Kuziwahi sasa hivi Kabla Hazijaisha!
_____________________
Kusema ukweli,
Mpaka Kozi hii inaisha utakuwa unajua yafuatayo kwa Undani zaidi 👇🏻
✅Utakuwa unajua jinsi ya kubadilisha wazo lako kuwa kitabu
✅Utakuwa unajua jinsi ya kuandika kitabu katika staili inayomvutia msomaji
✅Utakuwa na uwezo wa kuandika kitabu chako mwanzo mpaka mwisho bila kuishia njiani
✅Hautaishiwa mawazo ya kuandika kwenye kitabu chako. (Zipo njia 9 za uhakika)
✅Utakuwa na ujuzi wa kuwaandikia wengine vitabu na kujitengenezea kipato cha ziada
✅Utakuwa unajua jinsi ya kuuza vitabu vyako kirahisi (hautateseka tena)
✅Utakuwa unajua njia salama za kuuza vitabu vyako mtandaoni bila kuibiwa wala kusambazwa bure kwa watu wengine ambao hawajavinunua.
Pamoja na mengine mengi (ya muhimu)
✏️Na hayo ndio maarifa yaliyomsaidia ZAKAYO IGANJA kuwa Mwandishi mzuri wa vitabu na kutwaa TUZO MBILI ZA MWANDISHI BORA WA VITABU.
Na ndio maarifa yaliyomsaidia MWL. BENJAMIN MADAHA kuwa Mwandishi mzuri wa vitabu vya elimu, pesa na masoko.
Yaani, Utajifunza👇🏻
✅(01) NINI CHA KUANDIKA
Ikiwa huwa unataka kuandika vitabu, lakini Haujui uandike juu ya nini...(Tutakuonesha maeneo 9 ya uhakika unayoweza kutumia).
HAUTAKOSA TENA CHA KUANDIKA✍🏼
_____________________
✅(02) UANDIKE WAKATI GANI
Yapo mambo matatu (3) muhimu unayopaswa kuyazingatia KABLA HAUJAANZA au HAUJAENDELEA KUANDIKA KITABU CHAKO.
🚯Usipoyajua, utakuja kujutia muda wako mwingi ulioutumia kuandika Kitabu chako.
_____________________
✅(03) JINSI YA KUPATA MAWAZO BORA YA KUANDIKIA VITABU/YA KUANDIKA KWENYE VITABU VYAKO
Ikiwa huwa unaanza kuandika vitabu halafu unajikuta ukiishia njiani kwa kukosa mawazo Mapya..... au unataka kuandika vitabu lakini Hujui uandike uandike nini cha tofauti na waandishi wengine (kitakacho kutofautisha na waandishi wengine) utaelekezwa cha kufanya.
UTAJUA JINSI YA KUPATA MAWAZO BORA YA KUANDIKA KWENYE KITABU CHAKO ✍🏼
_____________________
✅(04) JINSI YA KUANDIKA KITABU CHAKO
Ikiwa una jambo (wazo) la Kuandikia Kitabu, lakini Hujui JINSI YA KULIANDIKA KWA UZURI ZAIDI ili limvutie Msomaji wako (asome Kitabu chako HUKU AKIWA ANATABASAMU) ... utaelekezwa cha kufanya.
WASOMAJI WATAKUJA FURAHIA KITABU CHAKO 😊
_____________________
✅(05) JINSI YA KUUZA VITABU VYAKO KIRAHISI
Waandishi wengi hupata shida katika hili eneo baada ya kutoa vitabu vyao, na wengi wao huishia kukata tamaa baada ya kuona kazi zao hazinunuliwi.
Sasa, wewe utaoneshwa Njia rahisi na Bora zitakazokusaidia kuuza kazi zako KIRAHISI zaidi (nje na ndani ya mtandao) tofauti na waandishi wengine. HAUTATESEKA TENA.
Utaoneshwa pia na Njia za kuuzia vitabu vyako.
___________________
SIO HIVYO TU!
⏩Utapata pia OFA (BUNUS) ya FREE MENTORSHIP yenye thamani ya Tsh.100,000🆓 baada ya darasa kuisha. (Yaani, utaendelea kushikwa mkono kuhakikisha unaandika hicho kitabu chako na kuja kukitoa kwa wakati)
_____________________
JIANDIKISHE SASA HIVI KABLA NAFASI 8 ZILIZOBAKI HAZIJAISHA.
Na wala usihofu juu ya ukubwa wa vitabu vya waandishi wengine uliyoviona. Sio Lazima na chako kiwe kikubwa sana (kama nilivyoelezea kwenye hii video fupi).
BONYEZA kusikiliza👇
Sasa,
✅ADA YA HII KOZI (mwanzo mpaka mwisho) ni TSH. 21,500 TU! Badala Ya Tsh.100,000 (punguzo la zaidi Ya 75% ili kukusaidia na wewe kutimiza Ndoto Yako kabla mwaka huu haujaisha)
Yaani, Gharama ndogo sana ukilinganisha na Thamani utakayoipata Darasani na baada Ya darasa kuisha (FREE MENTORSHIP)
❣WENZAKO WALIO SERIOUS WAMESHALIPIA ADA (Tsh. 21,500). Angalia hapa chini👇







BADO WEWE TU!
👉NA UKIPITWA NA HII KOZI UTAKUJA KUJILAUMU SANA kwa sababu hii ofa haitajirudia tena. Itarudi kwenye gharama yake halisi ya Tsh.100,000
🌹Kumbuka: KUPITIA HII KOZI UTAJUA JINSI YA KUANDIKA VITABU VIZURI NA KUJUA KUVIUZA KIRAHISI ZAIDI BILA STRESS!
❤BONYEZA HII BUTTON NYEKUNDU HAPA CHINI KUWASILIANA NASI WHATSAPP SASAHIVI NA KUWAHI NAFASI YAKO KATI YA 8 ZILIZOBAKI (kwa Ofa Ya Tsh. 21,500 Ada Ya Kozi) 👇
👉"Malipo ni Kabla Ya kuingizwa kwenye WhatsApp group la Mafunzo" 👇
BONYEZA HAPA

👉Darasani utafundishwa na Mwandishi LACKSON TUNGARAZA mwenye vitabu zaidi Ya 15 na mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 5 kwenye tasnia ya uandishi wa vitabu, na aliyewainua waandishi wengine wengi wanaofanya vizuri katika tasnia ya uandishi wa vitabu nchini TANZANIA 🇹🇿 Na ndiye Founder wa @lamaxdesigns



Nawe JIANDIKISHE SASA HIVI DARASANI, UWAHI NAFASI CHACHE ZILIZOBAKI KWA TSH. 21,500 TU badala Ya Tsh.100,000 (punguzo la zaidi Ya 75%) ili na wewe usaidiwe kutimiza Ndoto Yako Ya Kuandika kitabu chako na kukitoa kikiwa katika viwango vya kimataifa kabla mwaka huu haujaisha!
Bonyeza hii button Nyekundu hapa chini kuja WhatsApp sasa hivi kuwahi nafasi Yako... (kwa Ofa Ya Tsh. 21,500 Ada Ya Kozi)
👉"Malipo ni Kabla Ya kuingizwa kwenye WhatsApp group la Mafunzo" 👇
______________________
BY LAMAX DESIGNS
Chini ya @lacksontungaraza
⏩Tunawasaidia waandishi wa vitabu kuandaa kazi zao, kuzitoa, na kuziuza Zikiwa na viwango vya kimataifa!

BONYEZA HAPA KUWASILIANA NASI WHATSAPP SASAHIVI NA KUWAHI NAFASI YAKO KATI YA 8 ZILIZOBAKI👇 (kwa Ofa Ya Tsh. 21,500 Ada Ya Kozi)
👉"Malipo ni Kabla Ya kuingizwa kwenye WhatsApp group la Mafunzo" 👇
______________________
STORY: Jifunze kwa Dr. Tony Lewis aliyekuja Kujuta baadaye kwa sababu ya haraka zake za Kuwahi kutoa Kitabu...!


Sasa......
UNATAKA KUJUA KAMA KITABU CHAKO KITAUZIKA SOKONI? (Soma hapa)
Epuka HAYA MAKOSA katika Uandishi wa Kitabu chako (sehemu Ya 5)
Tuachie hapa chini maoni Yako 👇